The House of Favourite Newspapers

Cheki kifaa kipya cha Wiz Khalifa

0

Wiz Khalifa and new girlfriend party at Mr Nice Guy in West Hollywood, CAPictured: Wiz Khalifa and new girlfriendRef: SPL1207377  120116  Picture by: Aficionado Group  / Splash NewsSplash News and PicturesLos Angeles:310-821-2666New York:212-619-2666London:870-934-2666photodesk@splashnews.com

Wiz Khalifa akiwa na mpenzi wake mpya.

TANGU aachane na mchumba wake, Amber Rose kwa muda mrefu staa wa Hip Hop, Wiz Khalifa amekuwa akiripotiwa kutoka na wasichana tofauti lakini kwa safari hii ameonekana kuwa na msichana ambaye inaaminika ndiyo tulizo lake.

Katukio hako ‘amaizing’ kalijiri hivi karibuni katika Mgahawa wa Mastaa wa Nice Guy uliopo West Hollywood, California, Marekani.

Amber na Wiz walibahatika kupata mtoto mmoja, Sebastian na inadaiwa Amber amehamishia uhusiano kwa rapa mwingine ambaye ni Drake.

(Imeandaliwa na Andrew Carlos/GPL)

Leave A Reply