The House of Favourite Newspapers

Cheki Waziri wa Magufuli Anavyokata Mauno Hadharani – Video

Waswahili wanasema raha jipe mwenyewe, Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais – Muungano na Mazingiria, Kangi Lugola amenaswa akilisakata rumba kwa raha zake huku akimwaga minoti jukwaani.

Unataka kujua ilikuwaje? Hebu tazama mwenyewe ujionee.

Comments are closed.