The House of Favourite Newspapers

Chelsea wapigwa na Liverpool bao 3-1

0

1Wachezaji wa timu ya Liverpool wakimpongeza Philippe Coutinho (katikati) baada ya kufunga bao la kusawazisha dakika  45 kipindi cha kwanza katika Uwanja wa Stamford Bridge.

1446302043986_lc_galleryImage_Jurgen_Klopp_manager_of_L

Kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp  akishangilia.

5Wachezaji wa Chelsea wakimpongeza kiungo, Ramires (kushoto) baada ya kufunga bao la kuongoza dakika ya 24.

2Wachezaji wa Liverpool wakishangilia bao lao la pili dakika ya 74 lililofungwa na Philippe Coutinho.

Chelsea's backline was once again undone by this shot from Christian Benteke, who fired in Liverpool's third at Stamford Bridge

Mshambuliaji wa Liverpool, Christian Benteke akifunga bao la tatu mbele ya mabeki wa Chelsea.

1446301279307_lc_galleryImage_Football_Chelsea_v_LiverpKocha wa Chelsea, Jose Mourinho akiongea jambo wakati wa mchezo huo.

6Mchezaji wa Liverpool, Emre Can (chini) akimchezea rafu kiungo wa Chelsea, Willian.   7Mkurugenzi wa timu ya Chelsea, Bruce Buck akifuatilia mechi hiyo.

Timu ya Chelsea leo imeshindwa kuutumia vyema uwanja wake wa nyumbani wa Stamford Bridge baada ya kukubali kichapo cha mabao 3-1 kutoka kwa Liverpool.

Chelsea inayonolewa na Kocha Mreno, Jose Mourinho ilishindwa kulinda bao lake la mapema ililolipata dakika ya nne kupitia kwa kiungo Ramires.

Hii inakuwa mechi ya kwanza kwa Kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp kupata ushindi kwenye EPL tangu ajiunge na kikosi hicho mapema mwezi huu.

Aidha inaweza kuwa mechi ya mwisho kwa Mourinho kuendelea kukinoa kikosi cha Chelsea kwani alipewa mechi mbili kuhakikisha anashinda ikiwemo hii ya leo lakini zote amepoteza.

Chelsea (4-2-3-1): Begovic 6; Zouma 5, Cahill 6, Terry 6, Azpilicueta 6 (Falcao 75, 6); Ramires 7, Mikel 6.5 (Fabregas 69, 6), Willian 7; Oscar 6.5, Hazard 5 (Kenedy 59, 6), Costa 6

Subs not used: Baba, Remy, Matic, Amelia

Scorer: Ramires 4

Booked: Mikel

Liverpool (4-3-3): Mignolet 6; Clyne 7, Skrtel 7, Sakho 7.5, Moreno 5.5; Can 6.5, Lucas 6.5, Milner 7 (Benteke 64, 7); Lallana 7.5 (Lovren 90), Coutinho 8.5, Firmino 7.5 (Ibe 75, 6.5)

Subs not used: Allen, Bogdan, Teixeira, Randall

Scorers: Coutinho 45+3, 74, Benteke 83

Booked: Coutinho, Lucas, Can, Benteke

Att: 41,577

Referee: Mark Clattenburg

Leave A Reply