The House of Favourite Newspapers

CHELSEA YAINYOA ARSENAL BILA MAJI

0

 

Chelsea imefanikiwa kulipiza kisasi na kujizolea sifa kufuatia kushindwa kwao katika Kombe la FA miezi miwili iliyopita baada ya Michy Batschuayi kuwasaidia vijana wa Kocha Antonio Conte kuicharaza Arsenal mabao 3-0.

 

Wafungaji wa mabao hayo ni Willian aliyefunga dakika ya 40,

Michy Batshuayi dakika ya 42 na 49.

Mchezo huo umefanyika Beijing nchini China katika mwendelezo wa maandalizi kujiandaa na msimu ujao wa 2017/18.

Leave A Reply