The House of Favourite Newspapers

Chimbo la Movies Zote Mpya na Kali ni ‘T-BURUDANI’

0

WAPENZI wa filamu sasa wananufaika na huduma ya application ya ‘T-Burudani’ kutoka TTCL  inayomwezesha mteja kupakua, kuhifadhi pamoja na kuangalia filamu uipendayo bila ya kuwa na mtandao wa intaneti.

 

T-BURUDANI ni inamuwezesha mteja kupakua filamu, kutazama filamu, tamthilia na comedy zote za ndani ya nchi pamoja na kimataifa. Unaweza kupakua kupitia smartphone yako ama kompyuta ya kiganjani ‘Tablet’.

 

TTCL imeweka mfumo rahisi unaokuwezesha kupakua filamu uitakayo kutokana na maudhui toka kote duniani  pamoja na Hollywood, Nollywood, Bollywood, HBO, hata  Bongo Movies.

Pakua Application hiyo hapa ==> T-Burudani

 

 

 

View this post on Instagram

 

A post shared by Global Publishers (@globalpublishers) on

Leave A Reply