Chin Bees Akitaka ‘Ladha’ Kwa Watoto Wakali, Video Mpya

 

Kutoka chini ya Lebo ya Wanene, rapa Chin Bees huwa hataki utani hasa pale linapokuja swala la kuomba ‘Ladha’ kwa watoto wa kike katika video yake mpya.

 

Wimbo wa ladha unapatikana katika album ya Ladha ya Chin Bess ilyotoka mapema march mwaka huu.

 

Video imeongozwa na Destro.

 

 

Tumekuwekea hapa video mpya zinazofanya vizuri kwa sasa ingia Global App na kama huja install, nimekuwekea link hapa chini:👇👇👇👇

Android ===>GooglePlay

iOS ===>AppStore

Itazame hapa.

 

Toa comment