The House of Favourite Newspapers

Choki Ang’ara Kutimiza Miaka 30 Katika Muziki

ali-choki-5

Baadhi ya mashabiki wakigombea CD za nyimbo za Choki alizokuwa akizitoa bure.

ali-choki-1

Ally Choki  (kulia) akiwa na mwanamuziki mkongwe, Tshimanga Assosa.

ali-choki-2

…Akiwa na Khalid Chokoraa wakikumbushia enzi za bendi ya Extra Bongo ambayo sasa haipo.

ali-choki-3

 Mwanamuziki veterani, Hamza Kalala,  akimtambulisha mkewe. Kushoto ni mwanaye,  Kalala Jr.

ali-choki-4

 Choki akimtambulisha mkewe (katikati) na wanaye walio pembeni.

ali-choki-6

Ally Choki (kushoto) akiimba na Hamza Kalala anayepiga gitaa.

ali-choki-7

…Akiwa na mkewe.

ONYESHO la Ally Choki kutimiza miaka 30 tangu ajikite katika muziki,  lilifana kwa kuvutia watu wengi jana katika viwanja vya Mango Garden, Kinondoni, jijini Dar es Salaam.

(PICHA NA ISSA MNALLY/GPL)

GONGO YAMCHANGANYA MAKONDA TANDALE KWENYE ZIARA BAADA YA KUKARIBISHWA

Comments are closed.