The House of Favourite Newspapers

Chongolo Awataka Wazazi Kuachana na Imani za Kishirikina

0

Katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo, akiwa Jimbo la Morogoro Kusini amewataka wakazi wa Kikola kuacha tabia ya kuamini mambo ya wangaga wa jadi na ushirikina katika swala la uzazi, akizugumza na wanachama wa CCM kata hiyo, amesema kuwa ipo tabia ya baadhi ya wamama wajawazito kwenda kujifungua kwa wakunga wa jadi wakati serikali imejenga vituo vya afya na kote nchini kwa lengo la kuokoa vifo vya kinamama wajawazito na watoto.

 

Leave A Reply