Chris Brown Aachia Ngoma Mpya Nyingine – Little More

Chris-brown-royalty-album-coverCover ya album mpya ‘Royalty’ ya Chris Brown

BAADA ya kuachia ngoma zake mfululizo, staa wa muziki wa Pop, Chris Brown ameendeleza mfululizo wake kwa kutoa ngoma mpya ijulikanayo kama Little More ambayo itapatikana kwenye albamu yake mpya ya Royalty atakayoiachia kesho Ijumaa Desemba 18.
Ngoma zake nyingine zilizotangulia kutoka kwenye albamu hiyo ni Zero, Fine By Me, Back to Sleep, Anyway aliyomshirikisha Tayla Parxy pamoja na Wrist aliyomshirikisha Solo Lucci.

Imeandaliwa na Andrew Carlos/GPL


Loading...

Toa comment