The House of Favourite Newspapers

Chris Pratt, ‘Kazimia’ Kwa Katherine Schwarzenegger!!

Chris Pratt na Katherine Schwarzenegger walipokuwa wakifurahia wikiendi iliyopita.

MWIGIZAJI wa Marekani, Chris Pratt, ameonekana amepata patna mpya; Katherine Schwarzenegger, binti wa mwigizaji/mwanasiasa mashuhuri wa Marekani, Arnold Schwarzenegger.

Wawili hao walionekana wakiwa pamoja Jumapili iliyopita huko Santa Barbara wakifurahia maisha.

Inaaminika Pratt kampata mwenza mpya baada ya kufungua kesi ya kutaka kutalikiana na mkewe, Anna Faris, Desemba mwaka jana.

Comments are closed.