Christina Shusho Afunguka Kupendwa Sana Na Watu, Ampa Sifa Diamond – Video
Mtumishi wa Mungu na mwimbaji mahiri wa muziki wa injili, Christina Shusho amesema staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ni mtu poa sana, msikivu na ambaye muda wote yupo tayari kuwasaidia wengine.