The House of Favourite Newspapers

Chuchu Amwachia Ray Mtoto Wao!

Chuchu Hans

MWANAMAMA kunako Bongo Movies anayefanya poa kwenye tamthiliya mbalimbali, Chuchu Hans amesema ameamua kumuachia mzazi mwenzake, Vincent Kigosi ‘Ray’, mtoto wao, Jayden ili amlee, halafu yeye aendelee na mishemishe za kuandaa Shindano la Miss Tanga 2019.

Chuchu aliliambia Gazeti la Ijumaa Wikienda kuwa, ni kweli Jayden kwa sasa yupo kwa Ray kwa sababu tangu aanze kuandaa Miss Tanga amekuwa bize kinoma hivyo ikabidi amwachia majukumu ya kulea mtoto wao.

 

“Ni kweli kama Ray anavyosema nimemwachia Jayden kwa sababu ya pilika za Miss Tanga.

Baba yake alimchukua na hadi sasa yupo naye,” alisema Chuchu ambaye aliwahi kuwa Miss Tanga miaka ya nyuma.

ONA CHIDI BENZI Alivyo sepa na kijiji show ya Nikomeshe

Comments are closed.