CHUO CHA UDSM ,CHAANZA RASMI KUTOA MAFUNZO YA KISWAHILI KWA RAIA WA CHINA

 Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM), Kimeanza kutoa mafunzo rasmi kwa raia 65 wa China ,ambao wamejisajiri rasmi chuoni hapo ili kupata mafunzo ya lugha ya Kiswahili yatakayo wasaidia kuendeleza mahusiano ya kibiashara na Nchi ya Tanzania.

Akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mafunzo hayo, Prof. Aldin Mutembei ambaye pia ni Mkurugenzi Mwenza wa chuo hicho, alisema kuwa mafunzo hayo yatasaidia kurahisisha mawasiliano ya kibiashara kati ya Wachina hao na Watanzania.

Amos NyandukuTecno


Toa comment