College Box Kutikisa Alpha High School – DSM

Tumeanza na shule ya Sekondari ya Alpha ya jijini Dar es Salaam, tunakuja vyuoni na shule zote nchini. Wanafunzi wote wa sekondari na vyuoni mjiandae, hii si ya kukosa.

Ni Jumamosi hii, Agosti 24, 2019, hapo hapo katika Ukumbi wa Shule ya Alpha.


Loading...

Toa comment