The House of Favourite Newspapers
gunners X

Corona: Ndege za Abiria za Kimataifa Zazuiwa Kuingia Tanzania

0

MAMLAKA ya Usafiri wa Anga (TCAA) imefuta safari zote za ndege za abiria za kimataifa tangu juzi Aprili 11, 2020. Ndege za mizigo tu ndizo zitaruhusiwa kuingia kwa masharti kuwa wafanyakazi wa ndege hizo watawekwa karantini kwa gharama zao katika kupambana na #COVID-19 nchini.

 

Leave A Reply