Cosmas Cheka na Mjeda Hakuna Mbabe

Hakuna mbabe kati ya ‘Mjeda’ Ismsil Galiatano dhidi ya mtoto wa Morogoro Cosmas Cheka.

Refa alisimamisha pambano katika raundi ya saba baada ya mabondia kugongana vichwa na zikahesabiwa pointi katika raundi zilizopiganwa


Toa comment