The House of Favourite Newspapers

Coy Mzungu Amshukuru Mondi

0

MSANII wa maigizo ya vichekesho na kiongozi wa Kundi la Cheka Tu, Comrad Kennedy ‘Coy Mzungu’ amesema kuwa amefurahisha na kitendo cha msanii wa muziki Nasibu Abdul ‘diamond” kumpatia zawadi ya gari kwani kimemfanya awe mtu katika watu.

 

Akizungumza na Mikito Nusunusu, Coy amesema kuwa tangu alipopewa gari na Diamond mpaka sasa, anahisi kama anaota maana hajaamini macho yake kwa kile kilichotokea.

 

“Hadi sasa hivi nahisi kama naota kabisa maana sijatarajia kitu kama hiki, Mondi amejua kuniheshimsha mbele za watu kwa kweli ni mtu wa tofauti sana na pia namuombea kwa Mungu azidi kumpa zaidi ya hapa,” alisema Coy.

Leave A Reply