The House of Favourite Newspapers

CPA Makalla Afungua Kampeni za Serikali za Mitaa Dar

0
Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Cahama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa CPA Amos Makalla na Mlezi wa CCM mkoa wa Dar es Salaam amepokelewa na maelfu ya wananchi katika Jimbo la Temeke katika ufunguzi wa Kampeni za serikali za mitaa 2024.
Akiwahutubia wananchi waliojitokeza kwenye viwanja hivyo Makalla amewataka wananchi ifikapo Novemba 27, 2024 kujitokeza kwa wingi kuwapigia kura wagombea wa chama hicho ili ushindi uwe wa kishindo

 

 

 

Leave A Reply