The House of Favourite Newspapers

CPA Makalla Ampongeza Waziri Aweso Kwa Ufuatiliaji wa Miradi ya Maji

0
CPA Makalla amefanya Ukaguzi Mkubwa wa Mradi wa Maji eneo la bangulo Jimbo la Ukonga Wilaya ya Ilala Mradi uliogharimu Bill 39 na kuchukua ujazo wa Lita Milioni 9 na kuhudumia watu zaidi ya Laki Nne nakumpongeza Waziri wa Maji Mhe Juma Aweso kwa ufuatiliaji wake na hata tumbua tumbua aliyofanya ni Yale wale wanaotaka kutuchonganisha na Wananchi hivyo amefanya vizuri kwani kuna watu wanatuchonganisha na Wananchi kwa makusudi lakini pia amewataka wakandarasi kukamilisha Mradi huwo kwa wakati Ili sasa Wananchi wapate Maji safi na salama
Katibu Mwenezi na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es salam CPA Makalla amesema hayo akiwa Jimbo la Ukonga ikiwa ni muendelezo wa Ziara yake ya kukagua na kufanya Mikutano hadhara na kuzungumza na Wananchi wa Mkoa wa Dar es salam
Leave A Reply