CRDB, TARURA Wazindua Mikopo ya Makandarasi Fedha za Samia Infrastructure Bond
Dodoma. Tarehe 10 Aprili 2025: Baada ya ufanisi mkubwa kwenye mauzo ya Samia Infrastructure Bond yaliyohitimishwa mapema Januari, Serikali imewataka makandarasi kote nchini kuchangamkia mikopo iliyoanza kutolewa na Benki ya CRDB.