CUF Kutoshiriki Uchaguzi wa Marudio Zanzibar
Viongozi wa Balaza Kuu la Uongozi la Taifa la Chama cha Wananchi (CUF).
AZIMIO LA BARAZA KUU LA UONGOZI LA TAIFA KUHUSU TANGAZO LA MWENYEKITI WA TUME YA UCHAGUZI YA ZANZIBAR LA KUITISHA UCHAGUZI WA MARUDIO ZANZIBAR
Ni wakati wa mh. rais kuzungumzia swala hili.Ukimya wake unaleta maswali ambayo mwisho wa siku yanakosa majibu.Ni wakati pia wa jumuiya za kimataifa kuliangalia swala hili kwa mtazamo wa tofauti.Mungu yupo atafanya haki