The House of Favourite Newspapers

Dada Aacha Shule Ili Amuuguze Mama’ake – Atoa Somo Kubwa La Maisha – Video

0


Mariam Juma (24) mkazi wa Magomeni, Jijini Dar es salaam amefanya mahojiano na Global TV na kufunguka sababu za yeye kuishia kidato cha pili huku akieleza kwamba Mama ndiyo chanzo cha yeye kuacha shule ili aweze kumsaidia Mama yake ambaye alikuwa na matatizo ya kiafya.

Mariam ameeleza zaidi kwamba alipata Ujauzito na alipata mtoto na Baba wa mtoto huyo amemlipia kodi ya mwaka mzima lakini amekuja kwa Watanzania kuwaomba msaada ili aweze kufanya biashara na kumlea mtoto wake na Mama yake.

Leave A Reply