The House of Favourite Newspapers

Dada Aliyetoka Njombe Hadi Bukoba Kumzika Ruge, Afunguka! – Video

Kauli ya kwamba marehemu, Ruge Mutahaba alikuwa kipenzi cha watu imezidi kujidhihirisha zaidi kwenye msiba wake kwani watu kutoka maeneo mbalimbali wameweza kufunga safari hadi mkoani Kagera kwa ajili ya kumzika akiwemo, Sister K, ambaye amefunga safari kutoka mkoani Njombe.

 

Sister K amesema kitu kilichomsukuma zaidi kutoka Njombe hadi Kagera ni kutokana na jinsi ambavyo Ruge alimpokea kwa upendo alipoingia katika Jumba la Vipaji (THT) akiwa msanii na fundi wa kupiga gitaa.

VIDEO: MSIKIE HAPA SISTER K AKIFUNGUKA

Comments are closed.