The House of Favourite Newspapers

Daladala Yanguka Tandika, Abiria Wapiga Mayowe – Video

Ajali ya basi la abiria, maarufu kwa jina la Daladala, imetokea maeneo ya Davis Corner, Tandika Dar es salaam, likiwa na abiria walionasa ambapo raia waliwaokoa kwa kuliinua daladala hilo kwa mikono.

Comments are closed.