The House of Favourite Newspapers

Dar: Mgambo Washusha Kipigo Hevi kwa Raia Kisa Usafi – Video

IKIWA ni saa chache baada ya video kusambaa katika Mitandao ya Kijamii ikionyesha askari mgambo wakimpiga kijana Robson Orotho anayedaiwa kutolipa faini ya usafi, watuhumiwa wa kosa hilo wamematwa jijini Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa taarifa ya Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam, waliokamatwa ni Kelvin Edson, Gudluck Festo, Rehema Nyange. Watafikishwa Mahakamani haraka iwezekanavyo.

 

Video ikionesha Askari Mgambo akimshushia kipigo raia. Hii in sawa?

A post shared by Global Publishers (@globalpublishers) on

Sakata la mgambo DSM kupiga raia kisa usafi. Imefikia hapa????

A post shared by Global Publishers (@globalpublishers) on

Comments are closed.