The House of Favourite Newspapers

Dar Yazizima Ikimpokea Mwenezi Makalla

0
Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dar es salaam Leo tarehe 06 Julai,2024 katika Viwanja na Ukumbi wa Diamond Jubilee wanafanya Mapokezi ya Kumpokea Mlezi wa Mkoa wa Dar es salaam na Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa Ndugu Amos Makalla.
Pichani ni Umati wa Wana CCM Dar es salaam wakiwa  tayari Kumpokea na Kumsikiliza Ndugu Amos Makalla.
#CCMImara
#MleziwaDaressalam
#TunaendeleanaMama
#KaziIendelee
Leave A Reply