DARAJA LINALOTIKISA KWA MIZIMU NA MASHETANI KUTOKEA!

White Rock Bridge ni Daraja Lililopo Katika Ziwa la White Rock (White Rock Lake) Dallas Texas Kaskazini Mashariki mwa MarekanI, Ziwa hili lina ukubwa wa ekari 1,254.

 

Inaelezwa kwamba katika maeneo ya Ziwa hili hasa Darajani hapo, hutokea hali isiyo ya kawaida kwa baadhi ya watu kutokana na kuonekana kwa binti mmoja aliyevalia gauni jeupe akiomba msaada ya kurudishwa nyumbani, lakini wakati akisaidiwa hupotokea kimiujuza.

TAZAMA HAPA


Loading...

Toa comment