The House of Favourite Newspapers

David Beckham mwanaume mwenye mvuto 2015

0

david (1)
David Beckham.

JARIDA maarufu la People limemchagua staa wa zamani wa mpira aliyewahi kuchezea timu ya taifa ya Englan na Klabu ya Manchester United, David Beckham kuwa Mwanaume Mwenye Mvuto kwa mwaka 2015.

david-beckham-brooklyn-birthday-mar52015Beckham mwenye miaka 40 kwa sasa amezungumzia hisia zake juu ya kuchaguliwa na gazeti hilo kwa kusema;

“Ni heshima kubwa sana, na nimepokea kwa mikono miwili. Sikutambua kuwa navutia, mtu mwenye umbo la kuvutia.”

Leave A Reply