The House of Favourite Newspapers

Daz Baba Atokwa na Povu Kisa Madawa

Na ALLY KATALAMBULA| GAZETI LA AMANI| SHOWBIZE EXTRA

MWANAMUZIKI mkongwe wa Bongo Fleva aliyewahi kubamba na Kundi la Daz Nundaz, Daz Baba, ametokwa povu zito baada ya kuulizwa swali kuhusu tuhuma za kutumia dawa za kulevya

Daz Baba

Ilikuwa hivi; Daz Baba aliyewahi kubamba na Wimbo wa Wife aliulizwa swali na Showbiz Xtra kuhusu kutumia madawa ya kulevya ambapo alianza kutokwa povu;

“Sipendi kusikia ujinga kuhusu madawa, sipendi kuzungumzia kuhusu ishu ya madawa. Wewe kama nani unanihoji kuhusu mimi kutumia madawa ya kulevya, umewahi kuniona kuwa natumia, kwanza maisha yangu binafsi wewe yanakuhusu nini?” aligonga nukta Daz Baba.

Comments are closed.