The House of Favourite Newspapers

D’Banj atingisha mitaa na Porsche

0

5-8-3
 Gari aina ya Porsche analomiliki D’Banj.

MASHABIKI wa nyota wa muziki  nchini Nigeria, D’Banj,  wanasema msanii huyo hivi sasa ‘anaipaka rangi’  nyekundu mitaa ya jijini Lagos wakati anapozunguka hapa na kule akitumia gari lake jekundu aina ya Porsche ambalo alizawadiwa na makampuni ya simu yaliyomfanya kuwa balozi wake.

imageMiongoni mwa sehemu ambazo  D’Banj amekuwa akikatiza mitaa na kuwavutia watu wengi ni pamoja na kwenda kumtembelea rafiki yake aitwaye Timaya ambapo alikwenda kusherehekea mwaka mpya.

Mwimbaji huyo alirejea nchini humo hivi karibuni baada ya kusherehekea bethidei yake katika nchi za nje na hivi sasa amejumuika na washikaji wenzake katika tasnia ya muziki ili kujiimarisha zaidi.

Leave A Reply