The House of Favourite Newspapers

DC Iramba awanyoosha vigogo wa afya

0

iramba mapMkuu wa Wilaya ya Iramba Mkoani Singida, Christopher Ngubiagai amewasimamisha kazi watumishi sita wa idara afya na kuagiza wakamatwe na kufunguliwa mashitaka kwa tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka na ubadhirifu wa shilingi milioni 145.1 za Mfuko wa Afya ya jamii.

Watumishi wanaokabiliwa na tuhuma hizo ni Dokta Japhert Simeo aliyekuwa Mganga Mkuu wa Wilaya, Kaimu Mganga Mkuu Dokta Timoth Sumbe, Katibu wa Afya wa Wilaya Kalebi Ngughu, Mratibu wa Mfuko wa Afya ya Jamii Sylveri Maganza na makatibu wa afya Sande Alfonce na Grace Maganga.

Leave A Reply