The House of Favourite Newspapers

DC JOKATE Atoa ‘MIL 1’ Kuchangia Majeruhi MV NYERERE – Video

Mkuu wa wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo, amelazimika kuahirisha harambee ya kampeni yake ya ‘TOKOMEZA ZERO’ katika wilaya ya Kisarawe na kuungana na Watanzania wote katika kuomboleza Msiba wa Kitaifa wa wenzetu waliopoteza maisha katika ajali ya MV NYERERE huko kisiwani Ukara, wilayani Ukerewe mkoani Mwanza.

 

Aidha DC Jokate amesema ofisi yake itatoa mchango wa Milioni Moja kwa ajili ya kuwasaidia majeruhi waliopo hospitali wakiendelea kupatiwa matibabu.

Comments are closed.