DC JOKATE, Shilole Wakicheza Katika Siku ya Vijana -VIDEO
Kila ifikapo Agosti 12, Dunia inaadhimisha siku ya vijana Duniani, ambapo Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo ameshiriki kuadhimisha siku hii katika Shule ya Minaki na kutoa elimu ya maarifa itakayowasaidia vijana wa Kisarawe, Minaki na Tanzania kwa ujumla.
DC Jokate ameambatana na wasanii wa Bongo Fleva, Nikki wa Pili na Shilole ambao wote kwa pamoja wamewahasa vijana juu ya kutumia fursa katika kujikwamua kiuchumi na kukwepana na umaskini.
Comments are closed.