The House of Favourite Newspapers

DC Magoti Ni Kazikazi! Anafungua Mradi Wa Treni Ya Mizigo Kisarawe – Video

Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe DC Magoti amefunguka na kueleza kuwa watu watakaokwamisha maendeleo ndani ya Wilaya ya Kisarawe watashughulikiwa ipasavyo.