The House of Favourite Newspapers

DCB Yafunga Mwaka Ikiendelea Kubeba Tuzo Lukuki,Yanyakua Tuzo ya NBAA

0
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Zanzibar, Jamali Kassim Ali (katikati), akikabidhi tuzo kwa Ofisa Fedha Mkuu wa Benki ya DCB,Costantine Mtumbuka jijini Dar es Salaam hivi karibuni. baada ya benki hiyo kuibuka mshindi wa kwanza wa uandaaji bora wa hesabu kwa mwaka 2021 katika kundi la benki ndogo na za kati. Hii ni mara ya saba kwa DCB kushinda tuzo hizo za kila mwaka zinatolewa na Bodi ya Taifa ya  Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA). Kulia ni Meneja Fedha wa DCB, Siriaki Surumbu na wa pili kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya NBAA,  CPA. Prof. Sylivia Temu.  Hii ni mara ya saba kwa DCB kushinda tuzo hizo za kila mwaka zinazotolewa na NBAA. 
Ofisa Fedha Mkuu wa Benki ya DCB, Costantine Mtumbuka (kushoto), Meneja Fedha, Siriaki Surumbu (katikati) na Ofisa Masoko na Mawasiliano Wa benki hiyo, Caroline Gabriel Nnko wakionyesha tuzo ya mshindi wa kwanza wa uandaaji bora wa hesabu kwa mwaka 2021 katika kundi la benki ndogo na za kati zinatolewa na Bodi ya Taifa ya  Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA),  mara baada ya kukabidhiwa na   Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Zanzibar, Jamali Kassim Ali jijini Dar es Salaam. Hii ni mara ya saba kwa DCB kushinda tuzo hizo za kila mwaka zinazotolewa na NBAA
Maofisa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya DCB, Caroline Gabriel Nnko (kushoto), na Adelah Kaihula wakionyesha tuzo ya mshindi wa kwanza wa uandaaji bora wa hesabu kwa mwaka 2021 katika kundi la benki ndogo na za kati zinatolewa na Bodi ya Taifa ya  Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA), 
Ofisa Fedha Mkuu wa Benki ya DCB, Costantine Mtumbuka (wa pili kulia waliosimama), akionyesha tuzo ya mshindi wa kwanza wa uandaaji bora wa hesabu kwa mwaka 2021 katika kundi la benki ndogo na za kati zinatolewa na Bodi ya Taifa ya  Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA),  mara baada ya kukabidhiwa na   Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Zanzibar, Jamali Kassim Ali (katikati waliokaa), jijini Dar es Salaam hivi karibuni
Leave A Reply