Deal Done: Coutinho Asepa Liverpool, Atua Barcelona
KIUNGO mahili wa Timu ya Taifa ya Brazili, Philippe Coutinho ameihama klabu yake ya Liverpool na kusaini kwa miamba wa La Liga ya Hispania, Barcelona kwa kitita cha pauni milioni 145 (Tsh. Bilioni 438).
Coutinho, 26, amejiunga na Barca leo akitokea London na anatarajiwa kuingia uwanjani kesho mchana ambapo Barcelona watakuwa wanakipiga na Levante.
Mkali huyo anakuwa ni mchezaji ghari wa pili duniani kulipwa mkwanja mrefu zaidi akiwa n nyuma ya Neymar aliyesajiliwa mmwanzoni mwa msimu huu na Kalbu ya PSG.
Coutinho at Liverpool
2012-13 13 games, 3 goals
2013-14 37 games, 5 goals
2014-15 52 games, 8 goals
2015-16 43 games, 12 goals
2016-17 36 games, 14 goals
2017-18 18 games, 12 goal
1. Neymar (2017, Barcelona to PSG, £198m)
2. Philippe Coutinho (2018, Liverpool to Barcelona, £145m)
3. Ousmane Dembele (2017, Borussia Dortmund to Barcelona, £97m)
4. Paul Pogba (2016, Juventus to Manchester United, £89m)
5. Gareth Bale (2013, Tottenham to Real Madrid, £86m)
6. Cristiano Ronaldo (2009, Manchester United to Real Madrid, £80m)
7. Gonzalo Higuain (2016, Napoli to Juventus, £75.3m)
8. Neymar (2013, Santos to Barcelona, £71.5m)
9= Romelu Lukaku (2017, Everton to Manchester United, £75m)
9= Virgil van Dijk (2018, Southampton to Liverpool, £75m)
9= Luis Suarez (2014, Liverpool to Barcelona, £75m)
Comments are closed.