The House of Favourite Newspapers

Diamond Kufunga Ndoa na Tanasha Februari 14, 2019 – Video

MSANII maarufu wa muziki wa Bongo Fleva nchini,  Diamond Platnumz,  ametangaza siku ya kufunga ndoa na mpenzi wake mpya, Tanasha.
Kupitia mtandao Instagram, Diamond amesema harusi yake na mrembo huyo kutoka Kenya itafanyika Februari 14,  mwaka kesho (2019).
“Unajua ni kiasi gani naisubiria siku hiyo (siku ya harusi) father. 14/2/2019 siku ya harusi ya simba,”ameandika Diamond kwenye Instagram ambapo alikuwa anamjibu mdau mmoja aliyetaka kujua siku ya ndoa hiyo.

Comments are closed.