Diamond amzawadia gari Queen Darleen

Queen Darleen Birthday (1)

Diamond (wa tatu kutoka kushoto), akiwaongoza wenzake kwa kumuimbia wimbo wa birthday dada yake.

Queen Darleen Birthday (6)

Queen Darleen akimshukuru kwa zawadi ya gari Diamond.

Queen Darleen Birthday (2)

Queen Darleen akimlisha keki Diamond.

Queen Darleen Birthday (4)

Meneja wa Diamond,  Babu Tale (kulia), akimmwagia maji Queen Darleen.

Queen Darleen Birthday (5)

Msanii wa Bongo Fleva, Mwasiti Alimasi na wenzake awakimtaabisha Queen Darleen kwa kumpakaa keki.

Queen Darleen Birthday (3)

Baadhi ya madansa wa Diamond wakimtaabisha Queen Darleen kwa kummwagia mchanga na maji kama ishara ya kumpongeza muda mfupi baada ya siku ya kuzaliwa kwake kutimia.

Queen Darleen Birthday (17)

Shetta akimmwagia maji Queen Darleen.

Queen Darleen Birthday (8)

Halima Kimwana akilishwa keki.

Queen Darleen Birthday (7)

Queen Darleen akiwa kwenye pozi na ndugu jamaa na marafiki wakati wa kulishana keki.

Queen Darleen Birthday (9)Msanii wa Bongo Fleva Linah akilishwa keki.

Queen Darleen Birthday (10)

Queen Darleen akimlisha keki rafiki yake kipenzi aitwaye Mwengi.

Queen Darleen Birthday (12)

Mmoja wa kaka wa Queen Darleen akilishwa keki.

Queen Darleen Birthday (11)

Msanii chipukizi katika lebo ya WCB, Harmonizer akilishwa keki.

Queen Darleen Birthday (14)

Mwasiti akishirikiana na wenzake kumtaabisha kwa kumpaka tope Queen Darleen.

Queen Darleen Birthday (13)

Queen Darleen akiwa chini huku baadhi ya marafiki zake wakimmwagia maji.

Queen Darleen Birthday (15)

Babu Tale akimuongoza Queen Darleen tayari kwa kumuonyesha ‘surprise’ ya gari.

Queen Darleen Birthday (16)

Msanii wa Bongo Fleva, Msamy (kulia), akiwa amekumbatiana na Queen Darleen mara baada ya kulishwa keki.

MKALI wa Bongo Fleva Afrika Mashariki na Kati, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, usiku wa kuamkia leo amemfanyia bonge la ‘surprise’ dada yake Queen Darleen kwa kumpatia gari mpya aina ya Toyota Ractis.

‘Surprise’ hiyo ilifanyikia kwenye eneo la ofisi za Wasafi Classic Baby zilizopo Sinza Mori jijini Dar es Salaam, ambapo Queen Darleen alikuwa akisherehekea siku yake ya kuzaliwa punde tu baada ya saa 6 usiku kutimia.

(Habari/Picha: Musa Mateja/GPL )

Toa comment