The House of Favourite Newspapers

Diamond Amsindikiza Mzee Majuto – Video

Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Diamond Platnumz leo alikuwa miongoni mwa waombolezaji waliofika katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam kutoa heshima za mwisho kwa marehemu Mzee Majto.

 

Mwili wa msanii mkongwe wa filamu za Kibongo, Amri Athuman ‘King Majuto’, aliyefariki jana usiku, ulifikishwa Karimjee kuagwa kisha kusafirishwa kwenda nyumbani kwake Tanga kuzikwa.

 

Baada ya kuagwa katika Viwanja vya Karimjee, mwili wa marehemu umesafirishwa mpaka jijini Tanga kwa mazishi ambapo viongozi mbalimbali wamejitokeza kushiriki katika msiba huo.

 

Diamond Alivyoshiriki Kubeba Mwili Wa Mzee Majuto

Comments are closed.