The House of Favourite Newspapers

DIAMOND Apiga Shoo ya Kibabe KIGOMA…Tazama Full Video Hapa

0

MSANII wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ usiku wa kuamkia leo Januari 1, 2020 amefanya shoo ya aina yake katika shoo ya kuadhimisha miaka kumi yake kwenye muziki ambayo hafla yake ameifanyika nyumbani kwao mkoani Kigoma katika Uwanja wa Lake Tanganyika.

Leave A Reply