The House of Favourite Newspapers

Diamond: Diva Aliomba Kazi Wasafi TV Nikakataa – Video

0

STAA wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, amefunguka kuhusu chanzo cha ugomvi ulioibuka tena hivi karibuni kati yake na mtangazaji wa Clouds FM, Diva The Bawse.

 

Diamond amefunguka hayo wakati akizungumza na vyombo vya habari akiwa njiani kwenye usafiri wa treni kurejea Dar es Salaam baada ya shoo yake iliyofanyika hivi karibuni Kigoma mjini.

 

Amesema; “Diva alinipigia anaomba kazi Wasafi TV, amewapigia na watu wengi tu wa karibu yangu akiwemo Lilian Mwasha na wengine, anasema anataka kuleta kipindi chake cha usiku Wasafi TV.  Mimi nimekataa siwezi kumpokea, labda kama menejimenti watakubali lakini mimi sitaki.  Alivyosikia nimekataa ndiyo maana siku za hivi karibuni ameongeza chuki.”

 

TAZAMA VIDEO AKIFUNGUKA

Leave A Reply