The House of Favourite Newspapers

Diamond, Drake, Wizkid, Tiwa Sawage Wanyakuwa Net People’s Choice Awards

choice-awards-1

STAA wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, Drake, Wizkid, Tiwa Sawage na wengine wamesinda Tuzo za Net People’s Choice ambazo hutolewa a kwa watu wa tasnia mbalimbali waliyofanya vizuri kwenye kazi zao kwa mwaka husika katika upande wa burudani, michezo na nyingine.

Tuzo hizo huandaliwa nchini Nigeria na washindi hutangazwa tu pasipo uwepo wa sherehe za utoaji wa tuzo hizo, ila wote waliyotangazwa washindi watapatiwa vyeti kutambua mchango wao kwa mwaka 2016.

Hapa ni Orodha washindi wa tuzo za Net People’s Choice Awards kwa mwaka 2016choice-awards-9

Most Searched Personality Across Africa: Diamond Platnumz choice-awards-2

Most Searched Comedian: Basketmouth

choice-awards-3

Most Popular Musician: Wizkid choice-awards-4

Most Popular Comedian: Basketmouth choice-awards-5

Most popular celebrity (Global)choice-awards-6

Most Popular Footballer: Mikel Obi choice-awards-7

Most Popular Couple: Teebillz na Tiwa Savage

choice-awards-8

Most Searched Musician (Male): Wizkid choice-awards-1Most Searched Musician (Female): Tiwa Savage

 

Comments are closed.