The House of Favourite Newspapers

Diamond Kanyakua Tena Tuzo Nigeria, Usiulize ni Tuzo Gani Wewe Bofya Hapa!

diamond1MKALI wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ameshinda tena tuzo za Too Exclusive zinazotolewa nchini Nigeria katika kipengele cha Msanii Bora wa Mwaka 2016 ambacho hutolewa kwa msanii asiyekuwa wa nchi hiyo (Nigeria) ambaye anafanya vizuri kwa bara zima la Afrika..

Katika tuzo hizo, wengine waliokuwa wakiwania vipengele mbalimbali ni  Wizkid, Tekno na Tiwa Savage, Kiss Daniel, Simi na wengine kibao.

 banger

best

colabo

director-tuzo

dk-sp

flag-na-simi

flag-tuzo

kiss-daniel

simi-tuzo

simiii

tuzo-wiz-kid

tuzo20

wande-tuzo2

wiz-kid-tuzo

ybnl

ycee-tuzo

young-john

 

Comments are closed.