The House of Favourite Newspapers

Diamond Kuachia Video Nyingine Mpya Wiki hii

0

diamond-platnumz
Kituo maarufu cha Television cha MTV BASE kimepewa tena furs ya kuionyesha kwa mara ya kwanza video ya wimbo mpya wa nyota wa bongofleva nchiniTanzania, Diamond Platnumz.

Wimbo huo mpya alioutambulisha kwa jina la ‘Make me Sing‘, Diamond ameufanya na rapa wa nchini Afrika Kusini, AKA.diamond-2Make me Sing‘ inatatrajiwa kuachiwa Ijumaa, February 12, 2016. ikumbukwe kuwa kuanzia February 9, Diamond Platnumz aliwaambia mashabiki zake wakae tayari kwa ngoma mpya, na haya ni maneno ya Platnumz kwenye akaunti yake ya twitter.

Diamond-4

Mkali huyo wa bongo fleva pia anatarajia kwenda nchini Marekani hivi karibuni kwa ajili ya kufanya nyimbo nyingine na Prodyuza, Swizz Beatz, Alicia Keys na kufanya video ya kolabo yake na staa wa nchini humo, Neyo ambaye tayari walishafanya naye kazi na kufanikiwa walisharekodi audio.

Leave A Reply