Diamond Kwenye Billboard Tena

KWA mara nyingine, supastaa wa muziki barani Afrika, Nassib Abdul al-maarufu Diamond Platnumz ameonekana kwenye makala iliyopakiwa katika Mtandao wa billboard inayopatikana kwenye jarida la Billboard la Agosti 7, mwaka huu ambalo kwenye ukurasa wa kwanza limepambwa na picha ya staa wa muziki wa Marekani.

 

Makala hiyo yenye kichwa kinachosomeka; “How Diamond platnumz became Tanzania’s biggest star” inaelezea safari ya mafanikio ya diamondplatnumz kuanzia anaanza muziki mpaka sasa.


Toa comment