The House of Favourite Newspapers

Diamond na Zari Wamepata Mtoto wa Kiume Leo Des. 6, Bofya Hapa Kuona Pichaz

diamond-na-zari

chibu-jr-1

Pretoria, Afrika Kusini: TAARIFA njema kwa mashabiki wa msanii wa Bongo Fleva hapa nchini, Nasbu Abdul “Diamond Platnumz” ambaye leo leo Desemba 6, 2016, mpenzi wake Zarina Hassan “Zari The Boss Lady” amejifungua mtoto wa kiume katika Hospitali ya Netcare iliyopo mjini Pretoria nchini Afrika Kusini. Mtoto aliyekuwa akisubiliwa kwa hamu kubwa.zari-na-mond-kid

k

chibu-jr-1

Kwa mujibu wa taarifa aliyoitoa Diamond kupitia ujumbe aliouandika kwenye akaunti yake ya Instagram ameeleza kuwa mtoto wao huyo amezaliwa majira ya saa 8:35 usiku kwa saa za Afrika kusini ambazo ni sawa na saa 10:35 alfajiri kwa saa za Afrika Mashariki.

06th Dec 2016 03: 35am SA time…… 04: 35am EAST Time…. 02: 35am WEST Time…. 01: 35 am NORTH Time, A NEW STAR WAS BORN in NETCARE HOSPITAL / PRETORIA / SOUTH AFRICA…. unfortunately his parents Dad & Mom haven’t agreed on the name…. that’s why it even took time, to his advent to be on his parent’s Social media Pages….. Let’s wait and See, what @zarithebosslady & @Diamondplatnumz will ended up call him… (Tareh 6/ 12/ 2016 saa kumi na dakika 35 Staa Mpya wa akiume alizaliwa katika hospitali ya NETCARE iliyopo mjini Pretoria / South Africa… kutokana na wazazi wake kutofikiana Muafaka wa mtoto aitwe jina gani, ilipelekea mtoto huyo kuchelewa kupostiwa kwenye Mitandao ya kijamii ya Wazazi wake…. tusubiri tuone @zarithebosslady na @DiamondPlatnumz wataishia kumpa jina gani Mtoto wao…✍ )

A photo posted by Chibu Dangote (@diamondplatnumz) on

Mbali na Diamond kuposti picha zikionesha miguu ya mtoto huku akieleza kuwa mpaka sasa bado hawajapata jina la kumuita mtoto wao, mpenzi wake, Zari ameposti picha ikionesha mikono ya kichanga chao na kuwashukuru wale wote waliokuwa wakimuombea kwa Mungu ili ajifungue salama.

 

😍😍😍😍 thanking everyone for your prayers, we are all doing fabulously ok😙

A photo posted by Zari (@zarithebosslady) on

Mtoto huyo anakuwa ni wa pili kwa Diamond kuzaa na mpenzi wake Zari baada ya mtoto wao Tiffah aliyezaliwa August 6, 2015. Kwa zari ni mtoto wa tano huku wengine wakubwa watatu aliyozaa na aliyekuwa mumewe, Ivan nchini Uganda.

halotel-strip-1-1

Comments are closed.