The House of Favourite Newspapers

Diamond Platnumz – Nitafanyaje (Official Music Video)


SUPASTAA wa Bongo Fleva na CEO wa Lebo ya WCB, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’, ametoa video ya wimbo wake mpya unaoitwa Nitafanyaje.