The House of Favourite Newspapers

Diamond, Zari washinda tuzo Uganda

0

jbna (1)STAA wa muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platinumz’ pamoja na mchumba wake Zarinah Hassan ‘Zari The Bossy Lady’ wamepata Tuzo za Abryanz Style and Fashion (ASFA 2015) zilizofanyika Kampala, Uganda usiku wa kuamkia leo.Wawili hao wameibuka kidedea katika kipengele cha East Africa Most Stylish Couple.

Mbunifu wa mavazi, Martin Kadinda naye ameibuka kidedea katika tuzo hizo kwa kipengele cha Mbunifu Bora wa Mwaka huku Mwanamitindo Bora wa Mwaka ikienda kwa Mtanzania mwingine, Dax Hannz.

Mbali na hao, pia Tanzania imepata tuzo kupitia staa wa kike wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee aliyepata katika kipengele cha East Africa’s best Dressed Female Artist.

Katika sherehe hizo zilifunikwa kwa shoo kutoka kwa mkali kutoka Nigeria, Banky W akishirikiana na bidada kunako Bongo Fleva, Linah.

Orodha kamili ya washindi ipo hapa chini….

  1. Male Continental style & fashion influencer.

Jerry swanky (Nigeria)

  1. Female Continental style & fashion influencer.

Bonang Matheba (South Africa)

  1. East Africa’s most stylish couple.

Zari and diamond(Tanzania)

  1. Special Recognition in Fashion.

Aamito Stacie Queen (Uganda)

  1. Most fashionable music video

Lelo Tompona by Leila Kayondo feat. Radio

  1. Stylist of the year.

Chuck Salvator

7.Best dressed male media personality of the year.

Tazibone Solomon(NTV)

  1. Best dressed female media personality of the year.

Flavia Tumusiime(NTV )

  1. Best dressed male corporate personality/businessman

Joel Kamadi (NTV )

  1. Best dressed female corporate personality/businesswoman

Jennifer Musisi – (KCCA)

  1. Fashion brand of the year.

Emperio Milano

  1. East African model of the year

Females:

Harieth Paul (Tanzania)

Males:

Dax Hannz

  1. Most stylish Male Ugandan in the Diaspora

Ddumba Adams(South Africa)

  1. Most stylish Female Ugandan in the Diaspora

Doreen Faith(UK)

  1. Male Fashionista of the year

Bugeme Williams

  1. Female Fashionista of the year

Yasha Keys

  1. Lifetime Style & Fashion Icon Achievement Award.

Princess Elizabeth Bagaya

  1. Most stylish Male Celebrity

Eddy Kenzo

  1. Most stylish Female Celebrity

Judith Heard

20.Best Dressed Male Guest

To Be added

21 Best Dressed Female Guest

To be added

22 East African fashion designer of the year

Martin Kadinda(Tanzania)

23 Fashion designer of the year

Raphael Kasule

24 Upcoming fashion designer of the year

To be added

25 Outstanding Male Model Uganda

Mushema Housen

26 Outstanding female model Uganda

Ramona Fouziah

  1. Upcoming male model of the year

Allan Kimererwa

  1. Upcoming female model of the year

Loraine Barusha

  1. Makeup artistes 2015

Nahya Shero

  1. Best fashion writer/blogger of the year

Samson Baranga

  1. Lifestyle fashion photographer of the year

Giulio Molfese

  1. Best fashion supporting brand/personality

Ciroc

  1. Best fashion contributor in the Diaspora

Alecool Clothing (UK)

  1. Best model management

Joram model management

  1. Best hair stylist/hair dressers

Lords and ladies

  1. Best dressed Male politician

Mukasa Mbidde

  1. East Africa’s best Dressed female Artist

Vanessa Mdee

  1. East Africa’s Most Stylish Male Artist

Sauti Sol

(Zimeandaliwa na Andrew Carlos/ Gpl)

Leave A Reply