The House of Favourite Newspapers

Diva: Ishu ya Mavoko iliniumiza sana!

MKALI wa Ngoma ya Amezoea, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ kwa mara ya kwanza amefunguka ishu yake na msanii wa Bongo Fleva, Richard Martin ‘Rich Mavoko’ kuhusishwa ni wapenzi kuwa ilimuumiza mno.

 

Akipiga stori mbili-tatu na Showbiz, Lulu ambaye aliwahi pia kuwa muuza nyago kwenye video za wasanii wa Bongo Fleva alisema kuwa, siku aliyoonekana katika mapozi ya kimahaba ilikuwa ni usiku wa shoo ya Fiesta jijini Dar ambapo kwake kujiachia ni jambo la kawaida.

 

“Baada ya picha zile kusambaa, niliumia sana, lakini nitafanyaje ishu imeshatokea japokuwa Mavoko ni mshikaji wangu, sijawahi ku-date (kutoka kimapenzi) kabisa,” alisema Lulu.

Na Andrew Carlos | Ijumaa

Comments are closed.