The House of Favourite Newspapers

Diwani Aanguka Kwenye Mti, Afariki Dunia

0

Diwani pekee wa kutoka Chama Cha Mapinzuzi (CCM) katika Jimbo la Arumeru Mashariki, Kata ya Ngarenanyuki, Naftali Mbise amefariki dunia leo alfajiri.

Taarifa za awali zinasema kuwa, Mbise amefariki baada ya kuanguka kutoka kwenye mti, pamoja na taarifa hiyo kupatikana bado haijafahamika kwa undani nini hasa kilisababisha kifo cha diwani huyo.

Leave A Reply